Monday, 27 January 2014

Mchungaji Tweve





Nimeongea na Mchungaji S. Tweve wa Melinze Njombe kuhusu kuongezeka kwa maambukizi mapya ya UKIMWI Mkoani Njombe. Mchungai Tweve alisema kuwa watu wa Njombe, kwanza hawajali, pili Serikali imezidiwa nguvu, tatu watoto wanapewa elimu ya UKIMWI isiyo sahihi.

Mahojiano kamili nitawaletea hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment